Jumatatu, 13 Machi 2017

Tazama kikosi kipya cha Taifa stars


KOCHA mkuu wa timu ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Salum Mayanga ametangaza kikosi cha wachezaji 26 kitakachoingia kambini hapo Machi 19 kwa ajili ya mechi za kirafiki za kimataifa zilizopo kwenye kalenda ya FIFA.
Walioitwa kwenye kikosi hicho ni

Magolikipa

1. Deo Minishi
2. Aishi Manula
3. Said Mohamed

Mabeki

1. Erasto Nyoni
2. VIcent Andrew
3. Hassan Kessy
4. Mohamed Hussein
5. Abdi Banda
6. Shomari kapombe
7. Gadiel michael

Viungo

1. Himid Mao
2. Jonas Mkude
3. Mzamiru Yassin
4. Said Ndemla
5. Salum Abubakar
6. Frank Domayo

WInga

1. Simon Msuva
2. Farid Musa
3. Shiza Kichuya
4. Hassan Kabunda

Washambuliaji

1. Mbaraka Yusuph
2. Abdulrahman Mussa
3. Ibrahim Ajib
4. Thomas Ulimwengu
5. Mbwana Samatta


EmoticonEmoticon