Jumanne, 28 Machi 2017

Half time MATOKEO Tanzania wakiwa mbele kwa bao 1-0

Mechi inaonekana kuwa nzuri lakini bado eneo la kiungo linapaya

kikosi cha stars kinawajumuisha nyota 10 wanaocheza #vpl

Sasa ni mapumziko na matokeo haya hapa