Mechi ya kirafiki kati ya Serengeti boys na entamba murumba ya Burundi
Iliwachukua mpaka DK 20 Serengeti boys kupata bao la kuongoza lililofungwa na Makame, kazi haikuishia hapo kunako DK 38 Serengeti boys wakapata bao la Pili kupitia mchezaji Nickson Kibabage. Mpaka mapumziko Serengeti boys walikuwa mbele kwa goli 2-0.
kipindi cha Pili kilianza kwa kasi huku timu zote zikitafuta goli ,ilikuwa in Serengeti boys waliendelea kuongeza bao DK 72 kupitia kwa Mkomola na kufanya matokeo ubao kusoma 3-0
mpaka mwisho wa mchezo Serengeti boys 3-0 Intamba murugamba ya Burundi
EmoticonEmoticon